Umepewa Nabii Natan’El kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni
Umeandikwa 5 April, 2019
Ujumbe wa Kinbaii
Ee Yezebeli, wewe ni waridi la kipekee, kwa maana NIlijua utaNIsaliti mara na mara tena! Je, ulifikiri Sijui? MIMI ni MWENYEZI MUNGU, Najua mwisho toka mwanzo! NItakung’oa na kukutupa katika moto wa Jahanam! Hii itakuwa mauti yako milele. Dhihaki sasa, lipa baadae. NIko na nafsi yako mikononi MWANGU na ni jambo la kuogofya kuanguka katika mikono ya MUNGU AISHIYE YEHOVAH (Waebrania 10:31).
Ee Yezebeli, ni wewe ambaye NInadharau, ambaye MIMI – moyo na nafsi haswa za YEHOVAH, za MIMI, YEHOVAH WA MILELE – Nadharau! Haujui mipango MIMI, YEHOVAH, NInayo juu yako – mipango isiyo kwa uzuri bali kwa uovu, mipango ambapo woga wa Zedekia utaanguka [juu yako] (Yeremia 39:5-8). NItaua mwanako mbele ya macho yako kwa ajili ya upurukushani wako, dhuluma yako ya Yerusalemu YANGU! Je, wajua jinsi NItakavyoruhusu Wababilonia wavamie na kutenganisha? Jinsi NItakavyoruhusu watesaji na wawasha moto wafike?
Kuta zako, tayari Nabomoa! Ngome ya mji wako, tayari Naruhusu ivamiwe, ihujumiwe! Maana kile umepanga dhidi ya Watu WANGU, NInaregesha juu ya kifua chako. Umekufa! Umekufa! Umekufa!
Ee jinsi Nafsi YANGU, kule kuwepo kwako inahakiri (Zaburi 11:5)! Ngoja tu! Ngoja tu! Ngoja tu! Wewe na kakako – uzinzi! NItawaangamiza nyote wawili! Unataka kitanda cha uzinzi?! Basi mapigo yake utashiriki ndani, enyi walaaniwa wa milele (Ufunuo 2:20-23)!
Ee jinsi NInavyo kikombe cha hofu kuu itetemekayo kwa ajili yako kuona na kunywa hadi kwa yale masimbi, hadi pale chini yake (Zaburi 11:6, 75:8). Ee utakunywa, Yezebeli wewe mwanaharamu (Waebrania 12:8)! Wewe nyoka! Wewe kipiribao! Wewe binti wa shetani! Sikuwahi kukujua, wewe mbegu ya shetani, waridi la uovu na sumu!
Akili nyingi sana, nafsi nyingi sana umechafua, angamiza, potosha hadi kwa malango ya Jahanam yenyewe na mbele zaidi (Mithali 5:3-5). Hatia zako dhidi ya ALIYE JUU SANA – Asema MIMI, YESHUA HAMASHIAKH MKOMBOZI Alipaye Kisasi – ni zile za uhaini mkubwa na dhambi! Ewe mkiuka na mvunja Amri! Unatesa wenye haki na Watakatifu, ukitafuta kuua Manabii – MANABII WANGU!!!
Ee wewe Yezebeli wa Sasa, utateseka jaala mbaya zaidi kuliko ile ya Yezebeli wa Zamani, mamako wa kale, mamako mkuu. Aliliwa na mbwa baada ya kutupwa kutoka kwa dirisha (2 Wafalme 9:30-37). Kiburi huenda kabla ya mwanguko mkubwa na uvundo wa kiburi chako umefikia mapua YANGU.
MIMI, YEHOVAH, NImeghadhabika!!!
Ulisahau kuwa ni ghadhabu YANGU inayotia fueli Jahanam na Ziwa la Moto – yote mawili ambayo utapitia! Makazi yako, ee nabii malaya wa shetani, ni chini. MIMI Natoka Juu, pia Watoto WANGU. Utahofia kuona nyuso zao tena, kwa maana MIMI, YEHOVAH, Nawapa nguvu kama Wasemaji WANGU, Vifaa VYANGU vya ghadhabu na ukatili. NIlitumia tu mabaki chini ya mkono wa Gidioni kuokoa Israeli yote (Waamuzi 7:7). NIlitumia mkono wa Moshe (Kiebrania cha Musa) kuongoza Watu WANGU kupita Bahari ya Shamu (Kutoka 15:22).
NIlitumia MWANANGU wa pekee kuleta wokovu kwa Watu WANGU. Alimwaga Damu YAKE kukomboa Watoto WANGU. Alimwaga Damu YAKE dhidi yako, ee Yezebeli – mdharauliwa wa milele yote!
Utachomeka kwa ajili ya kucheza na moto, na MUNGU YEHOVAH ALIYE JUU SANA AmbaYE ni MOTO ulao (Waebrania 12:29)! Ingawa shetani amekupa taji la malkia, kiti cha enzi,na ufalme, haijalishi KWANGU. Yafaa NIvutiwe na kuongezwa kwako cheo na shetani? Vashti! NInakuvua joho lako la uovu na udanganyifu. Utalipa! Utalipa! Utalipa! Haujui habari [za] aina ya vifaa vya kikatili vilivyozinduliwa dhidi yako na Mkono WANGU wa kulia wenyewe, Asema MIMI YEHOVAH!
Kuna Shinikizo la Ghadhabu ambapo Nakanyaga damu ya mizabibu ya maadui WANGU waovu zaidi (Ufunuo 14:17-20). Mavazi YANGU Nayatia madoa na damu yenu, enyi waovu, wavunja-amri! (Isaya 63:1-6)
Ee Yezebeli… Mizabibu yako imeiva ya kuchuna, imeiva ya kufinywa kwa Ghadhabu YANGU kuu, Asema MIMI, YEHOVAH, MWENYEZI ELOHIM wa Milele!!!
Hakuna kama MIMI ambaye mbele zake viumbe vyote vitasujudu, kwa JINA la YESHUA HAMASHIAKH!
Ee Yezebeli, Najua pale unaishi na kila kitu kingine kukuhusu. Utakufa! Najua kuondoka na kuingia kwako. Najua wakati umechelewa kazi na mara nyingi unachelewa. Nyakati zote ulifanya vitu katika wakati wako, ukipuuza wakati WANGU. Hiyo ndiyo maana saa hii uko nje ya mapenzi YANGU bila njia ya kurudi, kwa maana umekanyaga Damu ya thamani ya MWANANGU wa Pekee YESHUA HAMASHIAKH!
Ngoja tu, ngoja tu. Maafa yanaenda kuja yakibisha, yakitwanga kwa mlango wako, hivi karibuni sana, sana. Hili Neno halitakawia, halitachelewa, maana hizi ni Siku za Mwisho za Nyakati za Mwisho. Haya Maneno ni maaminifu na kweli.
Utasikia toka KWANGU, ee Yezebeli, katika hiyo siku ya majaliwa, “NIondokee wewe mtenda maovu! Sikuwahi kujua (Luka 13:27)! Milele NImedharau ua lako la najisi, la dharau na soni. NInakuwajibisha siku hii kwa ukatili na uhaini wako mkubwa dhidi ya MUNGU wa Uumbaji. MIMI ni YEHOVAH, YULE wa MILELE, ambaYE pekee ni ALFA na OMEGA, ALEF na TAV. Akaunti ya Ghadhabu YANGU imeletwa dhidi yako siku hii na umepatikana na hatia ya kufanya ukahaba katika dhihaka ya Neno LANGU, ya Biarusi WANGU. Kwa hili utalipa! Katika moto wa Jahannam, Ziwa la Moto nawe!”