top of page
Writer's picturetorahkeeper

Unabii 4 “Tubu, Yerusalemu ya Dhahabu!”

Updated: Mar 23, 2024

Umepewa Nabii Hannah kwa sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa 19 Januari, 2019

Ujumbe wa Kinabii


(Naona YESHUA chini ya mti juu ya mlima, mikono YAKE ilizunguka magoti YAKE, na Akanipungia mkono kwa mbali. NIlitembea karibu NAYE na Tukatazama Yerusalemu pamoja NAYE. NiliMuona na naskia Akisema…)


NInatazama Yerusalemu YANGU, jinsi ni rembo, jiji la dhahabu. Lakini maadui watakuja na kuzingira. Mpaka siku hiyo, Yerusalemu haitakombolewa. Haitakuwa hadi apitie moto na kupaaza sauti “Mbarikiwa ni YEYE Anayekuja katika JINA la YESHUA!” (Zaburi 118:26, Math 23:39) Unaona kiasi kipi hii itachukua. Kama yeye ni mtiifu, hii haitahitajika. Lakini MIMI ni Mjua-yote, na NInajua tayari. Najua jiwe litakalo baki. (baada ya maangamizi)


Najua kiasi kipi cha joto kinahitajika kuwa (naona moto ndani ya tanuri). Nyinyi nyote mnapitia tanuri. Mtapata Nyota ya Kaskazini. Maana pale ndipo ipo tamaa ya nafsi yako (Mbinguni).

(Maono: Naona YESHUA Akichora mviringo kwenye mchanga, na kama saa, Anachora laini na kuigawa kwenye saa ya mchangani)


Naweka muda kwa kila wakati ulioamuriwa, mko katika wakati WANGU na yote yameteuliwa. Wakati hauko mbali sana. Chukua tena kile shetani aliiba. Wakati tayari umefunuliwa. Tafuta na utapata. (Naona YESHUA Akinyoshea moyo wangu). Hauko mbali. NItakuja kukuchukua. Kuwa tayari na NIngojee MIMI, Bwana Arusi wako. Usizurure.


Maana ilichukua zaidi sana kuwaokoa. Msiache iende bure. Kaka zako na Dada zako wote wanangojea kurudi KWANGU kutukufu. Lakini ni hadi Yerusalemu itubu. Na sio tu Israeli ya kimwili.


NItaijaribu vipi dhahabu bila majaribio? Lakini Najua ni nani WANGU na NInaokoa.


Hakuna anayeweza tangulia mbele ya njia za MWENYEZI, hata wewe. Kile kimeamuliwa mbeleni, utafanya. Kwa maana kinaNItukuza MIMI. Dhambi zako zilizopita ziko mbali kutoka mashariki na magharibi. Usiwe mwenye machungu, na usichoke. Lakini NItafute zaidi. Maana Natamani wakati wa pekee YANGU nawe, mbali haitoshi. Usipoteze wakati wako kwenye vitu havifai. NIkazie MIMI fikra zaidi, MIMI ni Mpenzi wa nafsi yako. Hakuna anayekupenda kuliko NInanvyo MIMI.


NIliumba jua kwa manufaa, lakini wanaliabudu jua. Na NItaliangamiza! (Maono: Naona YESHUA Akishika jua mkononi MWAKE alafu Analiponda.) Ni wangapi tena hawaNIogopi? (Naona watu bado wanafanya ununuzi chini ya jua na hata baada ya maafa kupiga) Na NImetikisa Dunia, puliza upepo, kuleta chini mawe (ya mvua). Lakini waliNIfanya nini? Kwa MWANANGU? Kudhihaki, kudhihaki zaidi. Nina huzuni kwa ajili ya kile lazima NIfanye, hata IMMA GLORIA wenu hawezi tena tuliza hii hasira.


Hiyo ndiyo sababu Nahitaji BiArusi WANGU aNIfariji. Hamjui kiasi cha furaha NInacho NInapowaona. MIMI ndiYE wa muhimu zaidi. Na kwa wakati mmoja wa maisha yenu yote mlikuwa mmepoteza hilo.


Je, mnaona kiasi kipi ambacho NImewapa nyinyi nyote? Kizuri kabisa ya kile ambacho NIko nacho. Kama vile Dada yenu anasema, ile nzuri kabisa ya yote ya Duniani. Na nyinyi ndiyo Watoto wazuri zaidi. Nyinyi nyote ni muhimu sana KWANGU. Waambie, nyinyi nyote mnaNIpendeza. NItazungumza mnaposikiza.


Mnaona, SIfanyi chochote bila kufunulia Manabii WANGU. Hadithi zilizoaguliwa na sasa zangoja tu kumalizika. Ee maadui WANGU, mwataka kucheza? Wacha tuone umbali gani mnaweza cheza MUNGU. Ni hatari kucheza na moto, lakini hilo haswa ndilo mnalofanya mnapogusa watoto WANGU.


(Nasikia simba akinguruma)


Hauchezi na MWENYEZI MUNGU! NIliisema tena na tena! Msiwaguse NIlioWatia Mafuta, wala msiwadhuru Manabii WANGU!


Ni wangapi walisikiza, wangapi walisikia kilio CHANGU? (YEHOVAH Alia)


(YEHOVAH AnaJItuliza ili kuendelea kuzungumza)


Itafanyika. Kwa amri YANGU. Katika wakati wa Moshe na Korah, mkono WANGU uko kwenye mchezo. MIMI NdiYE Mchezaji Mkuu. Nyinyi tu ni vipande VYANGU kutimiza lengo LANGU. Nyinyi mwaweza badilishwa. Kwa hivyo nini kiliwafanya mfikirie mko kwenye kiti cha hukumu? Mtahukumiwa. (Luka 6:42)


Mnapowanyoshea kidole, hamuoni dhambi yenu wenyewe. NItararua macho yenu wazi, na hamtaweza kuepuka dhambi yenu (wataiona kwa lazima).


Kuna hukumu zaidi ya kukuja. Wanafikiria tu wako kwenye upande wa ushindi. Hayo ndiyo mauzauza shetani anapeana.


Mwawezaje kuwa washindi mnapotelekeza Torah YANGU? Torah YANGU, Torah YANGU! (YEHOVAH Alia). NIlipeana mengi sana. NIlipeana TORAH INAYOISHI. Je, hamkumbuki jinsi Alivyosulubiwa? Haikuwa nyinyi mliosulubiwa.


Furahia watoto WANGU. Kwa maana mko katika mapenzi YANGU. Njia ya pekee kwenda Mbinguni. Changamka! SIjawawacha na SItawawacha.


Kila mmoja wenu anatembea akiwa ameshikana mkono kwa mkono na Manabii wa Zamani. Ndiyo, wako wengi zaidi. Na hawa tu ndio wale wakuu (Manabii wanaoaga wakienda Mbinguni, bado wanafanya kazi katika milki za kiroho kwa sababu wao pia wamo katika idadi ya Wingu la Mashahidi, na kwa sababu tu mtu aliaga na kuacha mwili, haimaanishi waliacha kufanyia MUNGU kazi). Unatafuta na utasikia sauti zao, itakusaidia kusonga mbele zaidi.


NIpeni utukufu! Nyinyi nyote mnang’aa katika njia tofauti. NIna furaha nyingi sana NIkiona kila mmoja wenu akiakisi mwangaza juu ya mwenzake. Inaleta urembo zaidi. Mbona mnafikiri hizi ndizo rangi pekee (za vito)? Mbinguni, kuna zaidi. Na mtaona mlima WANGU wa Hazina.

Jinsi NInavyopamba Torah YANGU. Kila jiwe la WanaNGU limetanda kwenye vibao vya mawe (Amri 10).


Kuna siri nyingi katika Bibilia. Na zingine mtajua tu mtakapofika Mbinguni. NInafurahia mnapotafuta na kupata. Kwa hivyo acheni NIwafunze zaidi. Je, mnajua YESHUA Ana Milki ya Mtumishi? Hiyo ni sahihi. Aliweka wale ambao walikuwa waaminifu zaidi Kando YAKE na kuwatuma kuenda kutumikia katika sayari zingine, kuwatumikia wengine. Hiyo ndiyo sababu ni muhimu kuwa stadi katika utumishi. Maana huo ndio moyo wa Bibilia YANGU.

Jinsi Navyoangalia Dunia na kuona tu ubaridi. NInajua mnachong’ang’ana [nacho] lakini si ngumu zaidi kwa MWENYEZI. Lakini NIonyesheni moyo wenu, acheni matendo yenu yathibitishe “mnaNIpenda”. Maana hilo ndilo NInalotafuta. Hatua nyuma ya maneno.


Kuna mengi zaidi ambayo yatakuja kwenye hii Dunia. Zile siku 3 za giza hazitawaacha maana wamo gizani. Lakini, MIMI, YEHOVAH NIko katika mwangaza, na wale wote wanaofuata njia ya YANGU. Hamna chochote cha kuogopa.


MIMI ndiYE Mhunzi Mkuu. Nachukua na kuchagua vipande VYANGU Vizuri kabisa na kutupa vinavyobaki. Zaidi ya unayojua.


Kwa hivyo NIabudu, NIjulisheni mnang’aa hata katika saa iliyo ya giza kabisa. Lakini inakuja kuisha haraka. Kwa hivyo fuateni haraka, Watoto WANGU, njia ZANGU zimethibitishwa kuwa njia bora zaidi kuenda Mbinguni.



Mwisho wa Neno

7 views

Recent Posts

See All
bottom of page