top of page
Writer's picturetorahkeeper

Unabii 29“Siri za Mwezi; Mnyama Ana Akili Bandia [Artificial Intelligence]”

Updated: Mar 21, 2024

Umepewa Nabii Hannah kwa Sifa,Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni

Umeandikwa 6 Aprili, 2019


Ujumbe wa Kinabii


(Wakati wa Gawo la Torah kuhusu ukoma)


(YEHOVAH Anashika Fimbo ya Kifalme ndefu) NInafanya tu Fimbo YANGU ya Kifalme kuweza kufikia Neno la kuzungumziwa kwa kila mmoja wenu. Nawazungumzia kuhusu kile kiko kwenye Moyo WANGU. Hiyo ndiyo maana kila mmoja wenu anapokea ufunuo na uhakikisho mwingi sana.


Ni mshangao wowote kuwa Yezebeli wa Mayezebeli anahusiana na mwezi? Mnaona tu upande mmoja na hamjui upande mwingine. Majeshi ya viumbe vya kigeni yanachimba [huo] upande mwingine kwa hakika. Kwa nini [h]ungewahi sikia hili? Kwa maana hawataki hili kusikika wala kujulikana. Vinginevyo watu, binadamu, wangejua kuna kito cha nguvu kubwa kuliko nguvu za nuklia. Ndiyo, nguvu za nuklia. Hata zaidi. Kinaweza hata tia nguvu mji mzima. Hiyo ndiyo sababu kinatumika kwa Mnyama ambaye ni akili bandia. Ako [hakika] na akili yake mwenyewe, imechanganywa na mkojo, shahawa, [na] damu ya binadamu na wanyama mbalimbali. Kwa kweli yachukiza, lakini huo ndio uchafu unaweza letea ufalme wa shetani. Ona jinsi inavyochukiza! Mnyama atakuwa kwa kweli kiumbe kinachoishi hata ingawa ameundwa na akili bandia, teknolojia ya kigeni kutoka sayari Mwezi.


Mwisho wa Neno

11 views

Recent Posts

See All
bottom of page