top of page
Writer's picturetorahkeeper

Unabii 3 “Shika Amri ZANGU, Sheria ZANGU!”

Updated: Mar 22, 2024

Umepewa TORAH KEEPER kwa Sifa, Heshima & Utukufu wa ELOHIM (MUNGU) Mbinguni


Umeandikwa Desemba 31, 2018

Ujumbe wa Kinabii


Shika Amri ZANGU, Sheria ZANGU!


Kwa hivyo waona Binti YANGU mpendwa? Fizikia ya kwanta ndio jawabu, lakini siyo ya muhimu zaidi, kile kinachofaa zaidi. Ni kujazwa na upendo WANGU. NItazame MIMI! Hakuna mwengine anayeweza fanya kile Naweza fanya. NIabudu MIMI! Ee Binti YANGU, MIMI ni MUUMBA wako! Wewe ni Mchaguliwa Mteule WANGU, BiArusi WANGU mrembo. Himizaneni na endeleeni kutia moyo Baba yenu. Jifunze kutoka KWANGU. Jifunzeni kuhusu ukweli WANGU.


NItawavuta karibu zaidi kuliko mbeleni. Ee, Binti YANGU mpendwa, BiArusi WANGU, NImependezwa nawe sana leo. MIMI ni ABBA YEHOVAH wako! Umetengezwa katika mfano wa BIBI YANGU, IMMA GLORIA ni Utukufu wako! Kumbuka hilo. YEYE ni Jiwe LANGU Lililo Hai, Urembo WANGU.

Utakatifu wa Ndoa ni wa thamani sana KWANGU. Nyinyi 2 (Yahusu wachumba ambao MUNGU Anazungmza nao) hamtambui maghala NIko nayo yanayongojea Ndoa yenu. Kuwa na uhakikisho wa hili Wadogo WANGU, kila wakati mnaNIsifu, Namwaga tu zaidi ya upendo WANGU juu yenu!


Msisahau hili. Kuweni maasumu, kuweni safi. Tumainia katika vile vitu havionekani, na katika hili MIMI ni BABA MUNGU wenu, ABBA YEHOVAH wenu. Naahidi NItajifanya NIjulikane kwenu na NItajidhihirisha ndani yenu maana nyinyi ni adilifu machoni MWANGU! Sio kwa sababu ya kile fizikia ya kwanta yafanya, lakini kwa sababu ya neema na huruma YANGU.


Kumbuka, endeleeni kuNIuliza NIfunue zaidi ya upendo na uvumilivu WANGU, ili matunda ya IMMA GLORIA wenu yataendelea kumea na kusonga mbele, na NItawashikilia, na MWANANGU YESHUA Atapumua juu yenu na kufanya makao YAKE kukaa daima ndani yenu.


JINA la MWANANGU linakufuriwa! Imarikeni, jitianeni moyo. Msiruhusu nafsi zenu kufadhaika au kuruhusu ugomvi kati yenu (nyinyi nyote). Pumzikeni tu ndani YANGU na mtaona baraka. Nzuri zaidi, na si chochote chini yake. MIMI, YEHOVAH, NImezungumza.



Mwisho wa Neno

7 views

Recent Posts

See All
bottom of page